M manthecool New Member Joined Sep 11, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Sep 26, 2013 #1 oi guyz hayo majina ya wanafunzi walionyimwa mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na muhula wao wa masomo mbona siyaoni naombeni mkiyapata na mm mnijulishe.
oi guyz hayo majina ya wanafunzi walionyimwa mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na muhula wao wa masomo mbona siyaoni naombeni mkiyapata na mm mnijulishe.
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Sep 26, 2013 #2 hayo majina hawajatoa ila taarifa inasema waombaji zaidi ya 300 watakosa mkopo