jukwaa la elimu

jukwaa la elimu

manthecool

New Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
4
Reaction score
0
oi guyz hayo majina ya wanafunzi walionyimwa mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na muhula wao wa masomo mbona siyaoni naombeni mkiyapata na mm mnijulishe.
 
hayo majina hawajatoa ila taarifa inasema waombaji zaidi ya 300 watakosa mkopo
 
Back
Top Bottom