pakapori
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 536
- 626
Habari ya muda huu..,
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimejaribu kuingia jukwaa la Great thinkers asee ila cha ajabu nimekatazwa kureply thread flani hivi nilioikuta huko na kuja kucheki nakuta thread zote ziruhusiwi kureply.
Nikasema isiwe shida wacha niende kwenye option ya kutandika jamvi nitunge story yoyote ya uongo ilimradi niwe nimepost thread kwenye jukwaa hilo.
Kilichonishangaza wakati nafanya mchakato wa kuenda kuanza kuandika, sikuona sehemu yoyote inayonipa option ya kuandaa thread mpya kama haya majukwaa mengine.
Sasa swali langu ni je, inakuwaje hilo jukwaa halina option ya kureply thread na hakuna sehemu ya kuanzisha thread mpya, na je, nyinyi mnaoandika thread kwenye hilo jukwaa mnatumia simu za aina gani..? Mbona mimi yangu haitaki niandike jamvi kwenye jukwaa la GREAT THINKERS..??