Jukwaa la Great thinkers

Jukwaa la Great thinkers

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari ya muda huu..,

Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimejaribu kuingia jukwaa la Great thinkers asee ila cha ajabu nimekatazwa kureply thread flani hivi nilioikuta huko na kuja kucheki nakuta thread zote ziruhusiwi kureply.

Nikasema isiwe shida wacha niende kwenye option ya kutandika jamvi nitunge story yoyote ya uongo ilimradi niwe nimepost thread kwenye jukwaa hilo.

Kilichonishangaza wakati nafanya mchakato wa kuenda kuanza kuandika, sikuona sehemu yoyote inayonipa option ya kuandaa thread mpya kama haya majukwaa mengine.

Sasa swali langu ni je, inakuwaje hilo jukwaa halina option ya kureply thread na hakuna sehemu ya kuanzisha thread mpya, na je, nyinyi mnaoandika thread kwenye hilo jukwaa mnatumia simu za aina gani..? Mbona mimi yangu haitaki niandike jamvi kwenye jukwaa la GREAT THINKERS..??
 
hilo unalipia mkuu
 
Kule waachie akina nguruvi3, shayu, sky eclat, kitila mkumbo, mwalimu, rev kishoka na wengineo. Wewe komaa hapa hapa chit chat, utatoka tu mkuu.[emoji3][emoji3]
Mkuu inaniumaa, haiwezekani kukawa na ubaguzi wa namna hiyo. Bora jukwaa lingekuwa halionekani ila tatizo jukwaa unaliona na kuingia unaingia afu unaishia kusoma tu za wenzio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuma maombi jamiiforums, then wanapitia coments zako na thread zako ili wajiridhishe kama kweli unaweza kuwa na u great thinker ili uruhusiwe kukoment na kuanzisha thread huko.
 
Niliwaomba nibadilishwe jina niitwe paka pori nikawapa sababu za msingi kabisa ila huu ni mwezi wa nne sijajibiwa chochote..,[emoji23][emoji23][emoji23] kwanza jukwaa lenyewe limekaa kisiasa siasaa. Wabaki nalo tu
 
Back
Top Bottom