Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zilipendwaTunataka katiba ya warioba na si vinginevyo
JPM huyu huyu?TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA AMBAYO NI MAWAZO YA WANANCHI. HATUTAKI KATIBA ILIYOTUNGWA NA KUSIMAMIWA NA MZEE WA KIJISENTI.
JPM ONESHA UZALENDO WAKO KWENYE HILI.
TUNAKUTEGEMEA SANA.
YES YOU CAN