M Morinyo JF-Expert Member Joined Aug 26, 2011 Posts 2,797 Reaction score 1,593 Sep 27, 2017 #21 Hivi hawa wamekosa ya kufanya? Raisi alishasema ananyoosha nchi kwanza au hawakumuelewa?
alliJAY4_four Senior Member Joined May 4, 2017 Posts 173 Reaction score 94 Sep 27, 2017 #22 MKWEPA KODI said: Tunataka katiba ya warioba na si vinginevyo Click to expand... zilipendwa
M Mkwaruu JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,929 Reaction score 1,707 Sep 27, 2017 #23 Umoja ni nguvu. Tuungane pamoja kupata mstakabali wa nchi yetu
M m4cjb JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 8,457 Reaction score 3,033 Sep 27, 2017 #24 Safi sana,watz tutawaunga mkono
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Sep 27, 2017 #25 Che mittoga said: TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA AMBAYO NI MAWAZO YA WANANCHI. HATUTAKI KATIBA ILIYOTUNGWA NA KUSIMAMIWA NA MZEE WA KIJISENTI. JPM ONESHA UZALENDO WAKO KWENYE HILI. TUNAKUTEGEMEA SANA. YES YOU CAN Click to expand... JPM huyu huyu?
Che mittoga said: TUNATAKA KATIBA YA WARIOBA AMBAYO NI MAWAZO YA WANANCHI. HATUTAKI KATIBA ILIYOTUNGWA NA KUSIMAMIWA NA MZEE WA KIJISENTI. JPM ONESHA UZALENDO WAKO KWENYE HILI. TUNAKUTEGEMEA SANA. YES YOU CAN Click to expand... JPM huyu huyu?