Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

Hivi umenipa majibu ya maswali yangu ambayo yamenisumbua sana na kwa mda mrefu, kwa kuona mashirika haya yenye muelekeo wa uanaharakati kukomaa sana na baadhi ya matukio dhidi ya CCM kuliko vyama vingine vya siasa.

Kama jukwaa la katiba wameonyesha kuwa wana mlengo wa upinzani kwa maana ya kutamka rasmi kugonbea ubunge kupitia chadema ni dhahiri kabisa kuwa haya mashirika ya kiharakati yote viongozi wake wako na interest za kisiasa zaidi ya kupigania haki za wananchi.

Kwa mawazo yangu nilidhani mashirika haya yalipaswa kuwa neutral ili hata chama cha upinzani kikikosea waweze kukemea, kitu ambacho naona haiwezekani kwa sababu wako affiliated and biased na vyama vya upinzani.

Ni wakati muafaka sasa tuone hata mashirika mengine wakijitoa hadharani kutangaza affiliation zao mfano ni kituo cha haki za binadam, tamwa, n.k

Si dhambi kuonyesha ukipendacho ili jamii iku judge kwa mapenzi yako kuliko kila siku tukuone ukikosoa CCM katika vyombo vya habari bila kuonyesha lengo lako, esp la kisiasa.
 
Le Mutuz, unataka kutuambia kuwa lilikuwa jukwaa la CCM, na sasa unasikitika kwa kuwa limekuwa jukwaa la upinzani??
 
Huyu jamaa Nafikiri baba yake Mzee Malecela amtafutie mke ili awe na majukumu ambayo yatamfanya afikirie lasivyo atapata utindio wa ubongo kwani thread anazokuja nazo zinaonyesha wazi hana akili hata chembe

Kumbe hana mke....!
 

mkuu, kaa ukijua kuwa hizi NGO nyingi zinatekeleza matakwa ya viongozi wa kisiasa wa upinzani kwa vile ndo wafadhili wao wakubwa. hawa akina Kibamba, sijui Ussu Malya au Helen Kijo Bisimba wote ni matawi ya CHADEMA
 
Hivi hili kubwa jinga kwa nini linajitoa ufahamu namna hii, kwani kuhamia chama unachokitaka si ni haki ya kikatiba?......arggghhhhh
 
Wenye tamaa ya madaraka wanakimbilia upinzani kwa kuwa kule ndiko kibonde, ccm haitaki viongozi lege lege,
ccm ndiyo chama tawala na watake wasitake uchaguzi wa 2015
lazima ccm itashinda;

Na huu muungano ndo kabisa umeuwa upinzani, chadema ndicho chama
kilichokuwa na wafuasi wengi, lakini kwa muungano huu wengi pia watarudi ccm
 
Last edited by a moderator:
umebadilika mama
 
Mchumia Tumbo wee unayeogopa wasomi kupamba nao. Tulikuona Ubunge wa EA ulivyoshindwa kujieleza kwa kimomba pamoja na kuisha New York over 25yrs. Katika watu 10 hasara duniani wewe unaweza kuongoza. You are not LeMutuz anymore, but Mr. Opportunist

Ile clip niliiona!it was embassing!
huyu Pepe kale wa Kigogo mwenye saizi 92 ,waste of
space
 
-
, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!


Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
speed ya baskeli ya miti...
 
Tumekupata loud and clear William Jumanne Malecela
 


Laana ya kutelekeza familia hii....nadhani unahitaji kufanyiwa psychology check-up, kwa kawaida uwezi kuitelekeza familia na watoto halafu wewe unakula raha na makahaba akili yako ikawa sawa.

Naomba kuuliza, kwa hiyo huyo unaemsema kuwa alikuwa CCM, na sasa amerudisha kadi, kwa hiyo alipokuwa CCM jukwaa alikuwa la CCM, ila alipohama kama unavyosema Jukwaa limekuwa la wapinzani. Nani anayeweza kuelewa ujinga kama huu unaeletwa na mtu mzima mwenye miaka takribani 50+?
 
mkuu, kaa ukijua kuwa hizi NGO nyingi zinatekeleza matakwa ya viongozi wa kisiasa wa upinzani kwa vile ndo wafadhili wao wakubwa. hawa akina Kibamba, sijui Ussu Malya au Helen Kijo Bisimba wote ni matawi ya CHADEMA

ulitaka wawe matawi ya CCM unafikir wao hawajitambui kama wewe Gamba
 
Hiyo kadi ya ccm kamrudishia nani?
Alikuwa ameazimwa hadi amrudishie, na kwamba hakuinunua kwa pesa zake?
Na alipoirudisha huko sijui wapi alisema amechukua kadi ya chama gani?
Kumbe muda wote alikuwa kada wa ccm wakati kimantiki alitakiwa kuwa neutral, mbona hamkumsema kada wenu?
Mngependa kila mtu awe mwanaccm halafu iweje?
Pigeni marufuku basi vyama vyote shindani ili kibakie ccm tu, maana uwezo huo na mamlaka mnayo wakubwa.
Mbona simple tu!
 
haha..siku hizi wanawake huwa wanawapima wanaume kwa misosi..wakiona mtu anaendekeza sana tumbo wanajua muda si mrefu atakuwa just like any other pet ktk nyumba.

Hembu muangalie le mutuz halafu jibu baki nalo.....

mkuu Nicholas nimecheka mpaka basi. mwanamme akiwa kama pet ndani ya nyumba ndo basi tena. hilo tutusa ni former baharia mlevi. tabia zake ni kama john feather.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…