William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #21
Willy na we jitoe.
- Yaaani nitoke CCM chama tawala niingie Chadema chama cha kusikilizia kama kumekucha? Maana unaweza kuishia kwenye maandamano! ha! ha1 ha!
Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Willy na we jitoe.
Kitambi kitambi nilikuwa nakimani nimeona kitambi noma.......
Huyu jamaa Nafikiri baba yake Mzee Malecela amtafutie mke ili awe na majukumu ambayo yatamfanya afikirie lasivyo atapata utindio wa ubongo kwani thread anazokuja nazo zinaonyesha wazi hana akili hata chembe
Hivi umenipa majibu ya maswali
yangu ambayo yamenisumbua sana na kwa mda mrefu, kwa kuona mashirika
haya yenye muelekeo wa uanaharakati kukomaa sana na baadhi ya matukio
dhidi ya CCM kuliko vyama vingine vya siasa.
Kama jukwaa la katiba wameonyesha kuwa wana mlengo wa upinzani kwa maana
ya kutamka rasmi kugonbea ubunge kupitia chadema ni dhahiri kabisa kuwa
haya mashirika ya kiharakati yote viongozi wake wako na interest za
kisiasa zaidi ya kupigania haki za wananchi.
Kwa mawazo yangu nilidhani mashirika haya yalipaswa kuwa neutral ili
hata chama cha upinzani kikikosea waweze kukemea, kitu ambacho naona
haiwezekani kwa sababu wako affiliated and biased na vyama vya upinzani.
Ni wakati muafaka sasa tuone hata mashirika mengine wakijitoa hadharani
kutangaza affiliation zao mfano ni kituo cha haki za binadam, tamwa, n.k
Si dhambi kuonyesha ukipendacho ili jamii iku judge kwa mapenzi yako
kuliko kila siku tukuone ukikosoa CCM katika vyombo vya habari bila
kuonyesha lengo lako, esp la kisiasa.
be careful, gays are not allowed there.-
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
umebadilika mamaWenye tamaa ya madaraka wanakimbilia upinzani kwa kuwa kule ndiko kibonde, ccm haitaki viongozi lege lege,
ccm ndiyo chama tawala na watake wasitake uchaguzi wa 2015
lazima ccm itashinda;
Na huu muungano ndo kabisa umeuwa upinzani, chadema ndicho chama
kilichokuwa na wafuasi wengi, lakini kwa muungano huu wengi pia watarudi ccm
Mchumia Tumbo wee unayeogopa wasomi kupamba nao. Tulikuona Ubunge wa EA ulivyoshindwa kujieleza kwa kimomba pamoja na kuisha New York over 25yrs. Katika watu 10 hasara duniani wewe unaweza kuongoza. You are not LeMutuz anymore, but Mr. Opportunist
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
Umeona eeee wanafiiki tupa kuleeeee kidumu kidumu ccm oyeeeee
speed ya baskeli ya miti...-
, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?
- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
mkuu, kaa ukijua kuwa hizi NGO nyingi zinatekeleza matakwa ya viongozi wa kisiasa wa upinzani kwa vile ndo wafadhili wao wakubwa. hawa akina Kibamba, sijui Ussu Malya au Helen Kijo Bisimba wote ni matawi ya CHADEMA
haha..siku hizi wanawake huwa wanawapima wanaume kwa misosi..wakiona mtu anaendekeza sana tumbo wanajua muda si mrefu atakuwa just like any other pet ktk nyumba.
Hembu muangalie le mutuz halafu jibu baki nalo.....