hadi sasa nimepata jina la mshiriki mmoja Deus Kibamba ingawa nimearifiwa atakuwa na mwanaharakati mwingne toka Jukwaa
Join Date : 15th November 2011
Posts : 68
Rep Power : 21
Umejitahidi sana, siku mbili tu tangu ujiunge tayari una post 68????? welcome aboard
Kama ni Deus Kibamba tunaomba wenye access na hiyo tv watupatie updates, maana huyo jamaa ni chuma cha pua kwenye harakati.
Hofu yangu ilikuwa labda wangekuwa Nape, Mukama, Shibuda, Lowassa na wapumbavu wenzao wengine wengi
anyway, thanks for info.
hawa jamaa wanapatikana pia katika king'amuzi cha startimes siku hizi kwahiyo wale walioko mikoani kama Arusha, Dodoma, mwanza na kwingineko kwenye king;a,uzi hiki basi wanaweza kutazama kipindi hiki. bahati mbaya sitaweza kutoa updates sababu ya majukumu wakati huo lakini atakayeweza ku-update atusaidie plz

ni channel ya ngapi kwenye king'amuzi? let me know pls
Mkuu huku Dom haipo hyo Mlimani Tv kwani natumia king'amuzi,channel number ngapi?
Kwa walioko mikoani, Mlimani tv inapatikana kwenye king'amuzi cha magumashi, cha kichina-startimes. Kama unacho utaweza kuipata bila chenga.
Join Date : 15th November 2011
Posts : 68
Rep Power : 21
Umejitahidi sana, siku mbili tu tangu ujiunge tayari una post 68????? welcome aboard