Jukwaa la Katiba Live Mlimani TV leo

Jukwaa la Katiba Live Mlimani TV leo

Wadau mwenyeketi wa jukwaa la katiba deus kibamba anaunguruma sasa mlimani tv
 
mjadala umeanza. Jamaa wanasema ofisi ya mwanasheria mkuu ni wagumu kupokea maoni kutoka nje
 
Mjadala wa katiba unaendelea ,mlimani tv ...wageni rasmi ni deus Kibamba na mwanaharakati mwingine bado cjajua jina lake ntawajuza punde
 
Tufahamishe japo kwa muhtasari kazungumza nini. Huku kwangu bado reactor haijapatikana baada ya kulipuka juzi!
 
Updates please,huku kwetu wametungelejah.
 
Huyu Deus Kibamba si alituambia pale Plue Peal kwamba kama mswada ukisomwa kwa mara ya pili atatangaza mgomo nchi nzima? Nasubiri leo atangaze tulianzishe!
 
Mjadala umeanza
mjumbe ataka wabunge wala wawakilishi wasiwepo katika bunge la katiba kwani hatari ya mjadala kuharibiwa na siasa za vyama vyao na tumeshuhudia juzi tu bungeni
 
Leo nimeamini kuwa jamaa ni kichwa. Huyu ni mwanaharakati wa kweli. Amesema kweli kuwa wabunge wamemjadili Tundu Lisu na Chadema badala ya mjadala muhimu wa muswada wa katiba. Kwa nini watanzania wote tusiwe hivi. Kwa nini tusiwe na misimamo hii?
 
sijui kwanini mswada unapelekwa bungeni, tena bunge lenye wajinga kibao kutoka chama cha mashoga (ccm). ni hatari sana kwa afya ya nchi yetu mswada au rasimu ya katiba kupitishwa na majuha wa ccm.
 
Leo nimeamini kuwa jamaa ni kichwa. Huyu ni mwanaharakati wa kweli. Kwa nini watanzania wote tusiwe hivi. Kwa nini tusiwe na misimamo hii?

Sasa kama ndivyo, utakuwa umejadiliwa wapi?
Na huu wanaojadili wabunge wa ccm, cuf na yule 'steringi' wa tlp ni nini?
 
Endelea kutujuza kila point muhimu anapotoa huyo Kibamba maana wengine hatuna accesess na Mlimani TV
 
"Aliyetuita wahuni ashukuru mh spika alimwambia afute kauli,tungempeleka mahakamani" Kibamba.
 
Wanaonaje kutoka kwa chadema nje' mjumbe mmoja anasema wamekosea wangebaki kujadili.kitendo cha kuondoka kimeacha ombwe.
 
Inamaana wabunge wote wa CCM wanaunga mkono muswada huo? Du kwa kweli kazi ipo yahani hiki chama kimeoza kweli kweli mpaka wabunge wote du sasa sisi wananchi sijui tutakimbilia wapi, masburi yao
 
Kimbamba anasema wamekataa kuingiza mkutano mkuu wa katiba katika muswaada wa katiba ambao ungekuwa chombo muhimu.
 
Back
Top Bottom