Jukwaa la katiba

Jukwaa la katiba

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,407
Reaction score
3,260
Wakuu hebu nijuzeni vizuri kuhusu jukwaa la katiba
Nalijua jukwaa hili kwa maana ya jinsi lilivyo mstari wa mbele kuendesha mijadala na michakato ya kupata katiba mpya likiwa chini ya mwenyekiti wake Deus Kibamba
Nisichojua kuhusu hili jukwaa ni
je limeanzishwa au kuteuliwa na nani?
je ndilo lililopo kisheria kuongoza mchakato huu wa katiba mpya?
Je lina nguvu gani kisheria kuendesha hayo yote(ikiwemo kuitisha maandamano nchi nzima)?
Nawasilisha
 
Wanaojua jamani watujuze, coz hata mimi niko njia panda,
 
Back
Top Bottom