Jukwaa la kutajana-tajana majina...

Madame B upo dada? Ngoja nikuamkie PM.

OA,
Wapi pedeshee Ipycalypse mutu ya Dubai,mutu ya Kukwea pipa kila sekunde,mutu ya shopping London N't Kariakoo.
Nipo ndugu yangu,vp mzima kbs?
Pedeshee upo huku Jf,umeacha Kodi ya Meza home?
Musalimie papaa Asprin muzee na mubabu wa vimwana watatu.
 
Last edited by a moderator:
Teeenyaaaaaa!!!
Miaka mia babu weee!!
Hehehe,...Haloooo!!
InaHUUU???
Nipo mwanfnz wangu Kaizer,nawalia chabo kiaina.

Nipemo kitendawili Madame B! khaaa Nani Kanuna? siye tujitege tu na kujitegua.....lol
cacico my shem where are you maana my sweetlo gfsonwin tangu mgomo namwona mahudhurio yake sio ki viiile halafu huyu Asprin ameshamaliza msiba maana nasikia hajaonekana nyumbani tokea wakati huo! Na Erickb52 kakumbwa na nini?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya pedeshee wa ukweli kuingia nyuma ya nondo naona wamezaliwa wengine kibao.
ngoja tuwachambue kwanza.

 
Niko hapa hommie............

 
Dada heri tu ulivoishia hapo mana
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha hah Kumbe ndio style ya @Aspirin
 
Last edited by a moderator:

Kaizer wangu,
gfsonwin nahs atakuwa amebanwa na mfungo.
cacico kaenda Tanga kumroga Babu,
Babu Asprin kaenda kuoa mke wa tatu kwao na Erickb52 anamsaidia mkewe likizo ya Uzazi.

Nikupatiemo Kitendawil??

Kitendawiliii..!!!
Nina mwanangu akiwa katikati ya wenzake hatambuliki
 
Last edited by a moderator:

hujanitaja najisikia vibaya
 
Last edited by a moderator:
Wapi mume wangu Bishanga njoo huku unitaje.ujumbe sikuachi hata kama umefilisika ila nenda kamalizie posa kwa MziziMkavu
 



Shabash ... mi nimeona hapo tu,wapi beibe nasty mamaa ya kunibania musalimie kibabuu Asprin muzee ya wake mingi,usimusahau cacico ,wapi shemeji langu la ukweli princess enny....
 
Last edited by a moderator:

hahaha na huu mfongo unaisha lini jamani?
Madame B kitendawili nimechemsha.....nikupe mji au Asprin atanijibia? Sidhani maana sasa hivi atakuwa bar tu si umemwona apo juu? daaamn...labda cacico! come zis way shemeji! mwaaah, eti unaamini kwen ndumba?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…