BADILI TABIA mi nipo sana,mbona nakusaka sikuonimkemwenza cacico miss u n love u, hubby Asprin mwaahhhhh, leo zamu ya Yummy kuwa nawe.... Cantalisia mama ya Rejao hujambo? Buchanan nikinywa maji nakuona kwenye glass, Fang naomba unifundishe kiinglish,
TANMO mbona hunipi jibu langu? au mpaka nikuandame kama Wakati ni sasa alivyomuandama charminglady?
Bishanga, bepari la kihaya ushamaliza mkopo? au nikukopeshe ukalipe benki? Kongosho my dear kesho usisahau kumuandalia hubby chai ya tangawizi, Erotica twins wanaendeleaje?
Judgement kipenzi cha beibe nasty hujambo?
Kaizer my shem wewe na mkeo gfsonwin na mwanenu Ronn M hamjambo?
@figanigga mzee wa mia ushajitoa jf?
Kaunga na Eiyer mpo? Excellent umepotea sana mkuu, Zinduna vipi mambo? Erickb52 haujarudi tu huko uliko au Amyner kakupiga biti?
cutie habari yako, Madame B na madame X mnanimix mjue..
Mamndenyi ulishakubali ombi la Arusha one?
DaJane na robrt naniliu vipi?
yoyo jukwaa la mabongo lala limekumiss halafu mtoa mada acha uzushi...
Nikuijie twende lunch?
Haya we nipitie tu mahabuba,
ila leo nitatoka na Hijab si unajua mwezi mtukufu hubby?
Sitaki kutega watu na umbo langu.
Haya we nipitie tu mahabuba,
ila leo nitatoka na Hijab si unajua mwezi mtukufu hubby?
Sitaki kutega watu na umbo langu.
Dah Madame B mi naomba niambie njia utakayopita nifaidi kwa macho,mi napenda kweli maumbo yaliyofichwa kwenye Hijab...
Naenda kusema kwa mama leoooooo!!Akhu mwaya usije nitamani bure,
ruttashobolwa kam bhana,
St. Paka Mweusi ashaanza kunitamani.
Njoo kbs na mguu wa kuku.
Mafataki wengi njiani.
Akhu mwaya usije nitamani bure,
ruttashobolwa kam bhana,
St. Paka Mweusi ashaanza kunitamani.
Njoo kbs na mguu wa kuku.
Mafataki wengi njiani.
Afu wewe! Unakumbuka siku ile?
Nimeogopa msije mkalogwa bure...Babu ujue hujatutendea haki kwa kuficha sura zenu....
Afu wewe! Unakumbuka siku ile?
Haya napita ile njia ya upenuni kwenu.
Ila usinitamani.
Nimeogopa msije mkalogwa bure...