Kuhusu jukwaa la mapishi naunga mkono hoja, mwenzenu kila siku naunguza...
uwe unaniita nikupikie.
Sasa ukinipikia kila siku na mie nitajua lini kupika?
nitakufundisha.
haaa, si mnunue ma-cookbook bana?
Maria Roza, Mchonga, El-Toro n.k wataua mtu mkitoa jukwaa la wakubwa. ...
Labda ni njama ya kuwafukuza jamvini, kwao ni bora hata jukwaa la siasa liondoke.
ila wavumao baharini papa kumbe.....
Ungetuelezea zaidi mkuu,maana naona ni kama group hivi na sijui tuna jiunga vipi huko?
Safi lakini nimeona jinsi ya kupika pilau ntajaribu weekend