Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
- Thread starter
-
- #21
sawaaa.Basi pouwa haina noma
sawaaa.Basi pouwa haina noma
majukwaa ya chitchat,na jukwaa la mapenzi na urafiki.we uko wap apo mkuu?Nani hao?
mmu masinglesduh,yani majukwaa mengine yote this night at this time,wamelala na nyuzi watu hawachangii ila huku naona muda huu nyuzi zinaguswa tuuu kama kawaida ase....ukipost comment unakuta unaambiwa there are other new comments to display.wakuu jukwaa liko vizuri ngoja namim niamue leo niwafatilie mpaka asubuhi ase.......nipo nawachora tuuu
[HASHTAG]#mmu[/HASHTAG] sio wa sport sport kabisaaa
mhhh,sitaki kuamini? asa mbna kule love connect hawajitokeziii? wameamua kuwa single ladies and gents kwel?mmu masingles
tupo kote sema hatupatimhhh,sitaki kuamini? asa mbna kule love connect hawajitokeziii? wameamua kuwa single ladies and gents kwel?
hahah ya kweli hayo? mnakosaje sas....tupo kote sema hatupati
hahaah,ila mim ndo nimeanza kuwaona nyieeeeeNa sisi tunakuonaaa ww