Jukwaa la MMU noma sana

Jukwaa la MMU noma sana

duh,yani majukwaa mengine yote this night at this time,wamelala na nyuzi watu hawachangii ila huku naona muda huu nyuzi zinaguswa tuuu kama kawaida ase....ukipost comment unakuta unaambiwa there are other new comments to display.wakuu jukwaa liko vizuri ngoja namim niamue leo niwafatilie mpaka asubuhi ase.......nipo nawachora tuuu
[HASHTAG]#mmu[/HASHTAG] sio wa sport sport kabisaaa
mmu masingles
 
Back
Top Bottom