Jukwaa la MMU noma sana

Jukwaa la MMU noma sana

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
5,487
Reaction score
4,817
duh,yani majukwaa mengine yote this night at this time,wamelala na nyuzi watu hawachangii ila huku naona muda huu nyuzi zinaguswa tuuu kama kawaida ase....ukipost comment unakuta unaambiwa there are other new comments to display.wakuu jukwaa liko vizuri ngoja namim niamue leo niwafatilie mpaka asubuhi ase.......nipo nawachora tuuu
[HASHTAG]#mmu[/HASHTAG] sio wa sport sport kabisaaa
 
wanakuambia asubuhi wametoka kulinda hivo mchana wanashinda huku alafu usiku wakiwa wanalinda smartphon zinawasaidia kwa kukesha jf ili wasisinzie na mwizi akawaibia..
 
wanakuambia asubuhi wametoka kulinda hivo mchana wanashinda huku alafu usiku wakiwa wanalinda smartphon zinawasaidia kwa kukesha jf ili wasisinzie na mwizi akawaibia..
Hata mimi ndio nataka kulala
 
hahah awa,jmaa hatar kmbe wanalal mchan ucku wanatoboa,hum mmu wakiwa lindo.
 
mko wap wana mmu mbna leo napitia threads kimyaaa.au muda badooo?
 
Back
Top Bottom