Jukwaa la Wahariri Tanzania latoa tamko kwa Haji Manara kutokana na kumdhalilisha Prisca Kishamba

Jukwaa la Wahariri Tanzania latoa tamko kwa Haji Manara kutokana na kumdhalilisha Prisca Kishamba

Kila siku ni yeye pekee anayekwaruzana na watu! Ameshazinguana na Shafii, Jemedari, Kitenge, Prisca n.k! Mbona wasemaji wengine wapo fresh tu? Au kwa sababu yeye ni kundi maalum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yake wamuchie mwenye... Manara akili zake hazina akili...
 
Back
Top Bottom