Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jul 3, 2021 #41 Magonjwa Mtambuka said: Hilo jukwaa limejaa mashabiki wa utopolo. Click to expand... Kila kitu katika maisha yako unakiwaza kiCCM tu.
Magonjwa Mtambuka said: Hilo jukwaa limejaa mashabiki wa utopolo. Click to expand... Kila kitu katika maisha yako unakiwaza kiCCM tu.
Twamo JF-Expert Member Joined May 27, 2017 Posts 2,884 Reaction score 5,016 Jul 3, 2021 #42 Kila siku ni yeye pekee anayekwaruzana na watu! Ameshazinguana na Shafii, Jemedari, Kitenge, Prisca n.k! Mbona wasemaji wengine wapo fresh tu? Au kwa sababu yeye ni kundi maalum? Sent using Jamii Forums mobile app
Kila siku ni yeye pekee anayekwaruzana na watu! Ameshazinguana na Shafii, Jemedari, Kitenge, Prisca n.k! Mbona wasemaji wengine wapo fresh tu? Au kwa sababu yeye ni kundi maalum? Sent using Jamii Forums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 3, 2021 #43 Mambo yake wamuchie mwenye... Manara akili zake hazina akili...
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Jul 3, 2021 #44 Bila bila said: Kila kitu katika maisha yako unakiwaza kiCCM tu. Click to expand... Hebu acha ubavicha wako hapa.
Bila bila said: Kila kitu katika maisha yako unakiwaza kiCCM tu. Click to expand... Hebu acha ubavicha wako hapa.