Jukwaa la Wahariri Tanzania linajadili Budget 2021/2022

Jukwaa la Wahariri Tanzania linajadili Budget 2021/2022

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6.

Embu tupieni jicho muwaone akina Majura, Meena, n.k
 
Bajeti ya Bunge la Chama kimoja bila Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani
 
Wanaa tu hao hawana lolote, kuna yule somebody Balile ni ndumilakuwili sana yaani ni snitch sana na kujifanya anajua kila kitu kumbe bure
 
Jukwaa hili hili la kina Meena ambae kule twiter amejikita kupambana na Mondi?
 
Vyombo vingi vya habari vilituangusha sana enzi za Magufuli, walibaki wanamtangaza hadi anapokwenda kanisani kwa shughuli zake binafsi!
 
Back
Top Bottom