luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jun 19, 2021 #1 Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6. Embu tupieni jicho muwaone akina Majura, Meena, n.k
Wadau ni takribani miaka sita sikusikia hili jukwaa likitia neno u kujadili ISSUES ndani ya TZ, ila leo naona ITV wamewapa nafasi jukwaa hili katika kujadili bajeti ya Serikali ya Awamu ya 6. Embu tupieni jicho muwaone akina Majura, Meena, n.k
Lord OSAGYEFO JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 3,085 Reaction score 4,890 Jun 19, 2021 #2 Bajeti ya Bunge la Chama kimoja bila Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani
M Mshughulishaji JF-Expert Member Joined Sep 29, 2015 Posts 1,351 Reaction score 1,875 Jun 19, 2021 #3 Wanaa tu hao hawana lolote, kuna yule somebody Balile ni ndumilakuwili sana yaani ni snitch sana na kujifanya anajua kila kitu kumbe bure
Wanaa tu hao hawana lolote, kuna yule somebody Balile ni ndumilakuwili sana yaani ni snitch sana na kujifanya anajua kila kitu kumbe bure
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Jun 19, 2021 #4 Jukwaa hili hili la kina Meena ambae kule twiter amejikita kupambana na Mondi?
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jun 19, 2021 Thread starter #5 Crimea said: Jukwaa hili hili la kina Meena ambae kule twiter amejikita kupambana na Mondi? Click to expand... Huyo huyo yupo ana changia changia
Crimea said: Jukwaa hili hili la kina Meena ambae kule twiter amejikita kupambana na Mondi? Click to expand... Huyo huyo yupo ana changia changia
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Jun 19, 2021 #6 Vyombo vingi vya habari vilituangusha sana enzi za Magufuli, walibaki wanamtangaza hadi anapokwenda kanisani kwa shughuli zake binafsi!
Vyombo vingi vya habari vilituangusha sana enzi za Magufuli, walibaki wanamtangaza hadi anapokwenda kanisani kwa shughuli zake binafsi!
S Stan Mashamba JF-Expert Member Joined Apr 22, 2020 Posts 3,183 Reaction score 2,479 Jun 19, 2021 #7 Sawa. Pamoja ya yote haya; wasaidie kusukuma madai ya katiba mpya.