Jukwaa la Wakristo vs CCM nani zaidi?

Pengo mwenyewe escrow. Mkristo gani anaeunga mkono katiba ya mafisadi!!! Baada ya yesu kukuta nyumba ya baba yake imegeuzwa kuwa pango la wanyanganyi. Yesu hakuanza kulalamika bali alichukuwa hatua na kuwatimua wanyang'anyi Hekaluni AMINA. Tumia akili achana na katiba ya ccm.
 

ukileta mambo ya dini hapa si mahala pake ndugu, jikite kwenye mada, coz ukianza mambo ya yesu yesu hapa tutajua kuwa wewe umeishiwa hoja unaamuakuswitch topic to dini, be in the track, usitoke sana. Ukweli ni kwamba katiba ni nzuri, soma, elewa ndo ujue cha kufanya. Ni hayo tu.
 

Pengo amekuwa kama yerode
 
Mwaka huu mtanu

Mtamu kwasabu kuna kitu kizuri ambacho kila Mtanzania ana haki ya kujivunia kwa nchi yake kupata Katiba Inayopendekezwa, sasa ni jukumu la kila mmoja wetu kuisoma na kuielewa na kisha tujitokeze kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya kura ya maoni na kufanya maamuzi sahihi kuipigia kura Katiba hiyo. Kuwa mzalendo na nchi yako.
 

JUKWAA LA WAKRISTO,

I love it
 
We unadhani ulichokiandika we tukuite mtu au CRAZY? unaiga tu maneno ya watu, ndo mana nkakuita ZERO+NOTHING
Zero is not nothing. Stop using weed young man. When you smoke "joint", please keep your venomous spew by yourself.
 


mchonganishi mkubwa wewe inaelekea wewe ni mfuasi wa is au elshabab kwa kuleta mada isiyokua na maana ando not constructive, unaonekana mzembe tu umejaa udini na hiyo ni ishara ya akili yako kufa ganzi.
 
acha kuropoka ovyo jibu swali ipi taasis yenye nguvu?

kwani uliumuuliza swali au ndo unamuuliza? Wewe wa wapi wewe? Mbona husomeki, hapamhatuzungumzii mambo ya udini bhana. Mambo ya katiba na mustakabali wa nchi yetu ndo mambo muhimu, hayo unayoyataka wewe ni ya ziada.
 
JUKWAA LA WAKRISTO,

I love it

ISHMAEL.

Ha ha ha ha unajidanya na mawazo yako ya mkia wa mbuzi,Tanzania nayoijua mimi haiko hivyo la sivyo ingekua imesambaratika zamani unapoanza kuleta udini nakuonea huruma sana maana hujielewi Baba wa Taifa aliwaita watu wenye mawazo kama yako wajinga,wajinga, wajinga waliofirisika na maskini wa fikra huwezi kuleta masuala ya dini na mchakato wa katiba soma mwenyewe IBara ya 41 utaona masuala ya IMani za dini na uhuru wa kuabudu yalivyowekwa vizuri.
 
Karibia nusu ya wanafisiemu ni wakristo.



HAKIKA WEWE NI CHIZI!!!! Hivi unadhani udini unalisaidia TAifa,angalia mataifa yote ambayo yana watu wa imani tofauti waliokuwa wanaendekeza udini waliishia wapi?usijifanye umejitoa ufahamu wewe na unashabikia masuala ya dini na kwa taarifa yako huo wendawazimu wako umepigwa chini kwenye KAtiba pendekezwa Ibara ya 41!
 
Kwa bahati nzuri, UKRISTO SIO DINI. Wewe unaye dhania Ukristo ni dini ndio unaleta UDINI.

Kama unabisha, nionyeshe kwenye Biblia, wapi panasema kuwa Ukristo ni dini?

ZAIDI YA HAPO, Mimi nafuata Mungu anavyo sema na sio Baba wa Taifa lako. Mungu anasema Mpumbavu kasema moyoni mwake kuwa Hakuna Mungu.

Sasa wewe endelea kufuata wafu na niache mimi niendelee kumfuata Yesu Mungu alie hai.
 

wewe kichwa chako kimejaa upepo tuu, ulichokiandika hapo ni pumba tupu!! Acha kuleta uchochezi kuhusu masuala ya dini, weka hoja za msingi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…