Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishaikataa siku nyingi tunasubiri kupiga kura ya HAPANA!
pengo mwenyewe escrow. Mkristo gani anaeunga mkono katiba ya mafisadi!!! Baada ya yesu kukuta nyumba ya baba yake imegeuzwa kuwa pango la wanyanganyi. Yesu hakuanza kulalamika bali alichukuwa hatua na kuwatimua wanyang'anyi hekaluni amina. Tumia akili achana na katiba ya ccm.
ukileta mambo ya dini hapa si mahala pake ndugu, jikite kwenye mada, coz ukianza mambo ya yesu yesu hapa tutajua kuwa wewe umeishiwa hoja unaamuakuswitch topic to dini, be in the track, usitoke sana. Ukweli ni kwamba katiba ni nzuri, soma, elewa ndo ujue cha kufanya. Ni hayo tu.
Mwaka huu mtanu
Leo katika makanisa yote ya kikrstor tumesomewa waraka wa kichungaji au kwa jina lingine unaweza kuwiita waraka wa kinabidii,waraka huo ulibeba maudhui mengi mazuri sana lkn kilichonifurahisha ni wakristo wote nchini tanzania kuhamasisha kujiandikisha kwa wingi katika daftari la wapiga kura ili tuweze kupiga kura ya hapana kwenye rasim ya chenge
sasa mm nauliza wanajamii kati ya ccm na jukwaa la wakristor tanzania ipi taasisi yenye nguvu na ushawishi tanzania?
jukwaa la wakristo,
i love it
Stop using weed young Muzzratagastan.we ndo sifuri kweli!! Khaaaa kwahiyo ukiambiwa kula kinyesi na hilo jukwaa utakula si ndiyo?
Stop using weed young Muzzratagastan.
Zero is not nothing. Stop using weed young man. When you smoke "joint", please keep your venomous spew by yourself.We unadhani ulichokiandika we tukuite mtu au CRAZY? unaiga tu maneno ya watu, ndo mana nkakuita ZERO+NOTHING
leo katika makanisa yote ya kikrstor tumesomewa waraka wa kichungaji au kwa jina lingine unaweza kuwiita waraka wa kinabidii,waraka huo ulibeba maudhui mengi mazuri sana lkn kilichonifurahisha ni wakristo wote nchini tanzania kuhamasisha kujiandikisha kwa wingi katika daftari la wapiga kura ili tuweze kupiga kura ya hapana kwenye rasim ya chenge
sasa mm nauliza wanajamii kati ya ccm na jukwaa la wakristor tanzania ipi taasisi yenye nguvu na ushawishi tanzania?
acha kuropoka ovyo jibu swali ipi taasis yenye nguvu?
JUKWAA LA WAKRISTO,
I love it
acha kuropoka ovyo jibu swali ipi taasis yenye nguvu?
Karibia nusu ya wanafisiemu ni wakristo.
Kwa bahati nzuri, UKRISTO SIO DINI. Wewe unaye dhania Ukristo ni dini ndio unaleta UDINI.ISHMAEL.
Ha ha ha ha unajidanya na mawazo yako ya mkia wa mbuzi,Tanzania nayoijua mimi haiko hivyo la sivyo ingekua imesambaratika zamani unapoanza kuleta udini nakuonea huruma sana maana hujielewi Baba wa Taifa aliwaita watu wenye mawazo kama yako wajinga,wajinga, wajinga waliofirisika na maskini wa fikra huwezi kuleta masuala ya dini na mchakato wa katiba soma mwenyewe IBara ya 41 utaona masuala ya IMani za dini na uhuru wa kuabudu yalivyowekwa vizuri.
kwa bahati nzuri, ukristo sio dini. Wewe unaye dhania ukristo ni dini ndio unaleta udini.
Kama unabisha, nionyeshe kwenye biblia, wapi panasema kuwa ukristo ni dini?
Zaidi ya hapo, mimi nafuata mungu anavyo sema na sio baba wa taifa lako. Mungu anasema mpumbavu kasema moyoni mwake kuwa hakuna mungu.
Sasa wewe endelea kufuata wafu na niache mimi niendelee kumfuata yesu mungu alie hai.