Jukwaa la Wakristo vs CCM nani zaidi?

Jukwaa la Wakristo vs CCM nani zaidi?

Ahsante!!! madaftar yananitosha. Nyie pigen tu kura
 
Katiba Inayopendekezwa inalipa. Tuipigie kura ya NDIYO. Nawashukuru mnaofanya jitihada ya kuisoma Katiba hiyo. Tuko pamoja wazalendo.
 
wewe kichwa chako kimejaa upepo tuu, ulichokiandika hapo ni pumba tupu!! Acha kuleta uchochezi kuhusu masuala ya dini, weka hoja za msingi!!
mapovu hayo katiba safi ila mchakato Wa kuipata ulighubikwa na hila tuwe wakweli
 
Jana jukwaa la wakristo tanzania wameto tamko lingine mm nasuburi wa kuwapinga
 
Karibia nusu ya wanafisiemu ni wakristo.

Kaunga acha unafiki usitake tuanze kutajana majina na dini zetu na wala hatujafika huko na hatuna haja ya kufanya hivyo!acha ubinafsi kama huna hoja waache wenye uelewa wachangie.
 
Jana jukwaa la wakristo tanzania wameto tamko lingine mm nasuburi wa kuwapinga

Lendila usijifanye unajua sana kuongea na kujifanya mchonganishi,hayo yanakutoka kwa sababu nchi yako ina amani na hapa naona unashabikia kitu usichokijua yakitokea machafuko hapa hapatakua na mtu wa kumsaidia mwenzake,tumia akili yako sawasawa unapocomment!
 
Back
Top Bottom