Jukwaa la wakubwa liko wapi?

Hata mimi huwa silipendi hilo jukwaa. Niliwaomba mods waniunge jukwaa la dini matokeo yake wakaniunga jukwaa la wakubwa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..hiyo kali jaman ..mm picja za kikubwa nimezionaga ukubwana nimeshazaa..bas mpk leo naonaga ukakasi kuangalia hayo madude
 
kweli tumepishana jaman!sipend ht mtu nnayempenda kikawaida awepo jukwaa hilo...yaan duh!..@demi naskia upogo[emoji23][emoji23]...![emoji53][emoji57][emoji57][emoji57]
Nilijitoa baada ya kuokoka, now nataka kurudi wamenigomea. Jukwaa linaboa sana lile yaani limezubaa watazamaji ni wengi kuliko wachangiaji.
 
Rafiki nipende basi![emoji39][emoji39][emoji39]
Nilijitoa baada ya kuokoka, now nataka kurudi wamenigomea. Jukwaa linaboa sana lile yaani limezubaa watazamaji ni wengi kuliko wachangiaji.
 
Nilijitoa baada ya kuokoka, now nataka kurudi wamenigomea. Jukwaa linaboa sana lile yaani limezubaa watazamaji ni wengi kuliko wachangiaji.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚shoga uliokoka lini?πŸ˜‚πŸ˜‚kama linaboa mbn wataka kurudi?khaa ww mtoto wewe..hufananii kbsπŸ˜‚πŸ˜‚..hakuna kitu ambcho sipend km porn..eti nachefukwa na yale mapicha..nataka kitu live basi..aku
 
Hongera sana kwa kutopenca porn ina haribu akili. Juzi juzi tu hapa nilitaka kuokoka sijui nini kimenirudisha nyuma, shetani ashindwe kabisa
 
Hongera sana kwa kutopenca porn ina haribu akili. Juzi juzi tu hapa nilitaka kuokoka sijui nini kimenirudisha nyuma, shetani ashindwe kabisa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....nacheka tu mm...umri wa kuokoka bado bwana..wenzako wanaokokaga at 50age..unatulia tuliii
 
Ntakuwa wa mwisho kuamini kama Ninyi Chichat hamjui jukwaa la wakubwa
 
Jukwaa la kufikirika!! mnaturusha rusha roho tu! hakuna lolote likitu hukoooo!! nendeni zenu hukooo! mnatufanya sisi watoto!! .....kwani ulione cha ajabu nini huko?? papuchi za chuma au!? zaidi ya nyuchi za kawaida tu tu!
 
Jamani kama ku a mtu ana uwezo wa kutuingiza huko basi tunaomba ,sisi ni wakubwa sana pia tunaweza kutoa ushuri mzuri hasa kwa wanandoa maana sisi ni wakongwe na kupunguza talkative za ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…