Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ee bana hebu ukuje utupe likes
mkuu nakusalimu habari za siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nakusalimu habari za siku
Mkuu jamaa warespond wakaniambia nisubiri ntaungwa ila sasa ni miezi kadhaa nimeona sasa niwaachie tu VIPsWatumie e-mail
Mkuu...Mkuu jamaa warespond wakaniambia nisubiri ntaungwa ila sasa ni miezi kadhaa nimeona sasa niwaachie tu VIPs
Na mimi nahitaji hivyo vyote nnavyo hapaKuna fomu maalumu ya kujaza mkuu na hakikisha una copy ya cheti cha kuzaliwa,kitambulisho chochote na barua ya serikali ya mtaa alafu nicheki nikupe maelekezo jinsi ya kutuma.
Huko wanarespond haraka mkuu.Njia ndefu hiyo ...... i hope watakua wameona ujumbe wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja nijaribu kuwa pm na kamuamala ka tigo pesa au m-pesaHuko wanarespond haraka mkuu.
-Silasc-
🙂Mkuu...
Hawa jamaa maranyingi wasipo kujibu PM, watumie Email: support@jamiiforums.com na uwaeleze malalamiko yako.
Bilashaka watakujibu kwa haraka
Noma sana!mtumie invisible private message ata grant access
pia kuna kundi la wasap la hayo mambo ni pm namba yako. nimpe admin
chao
Mods kama mnaniona nami nataka niingie kune hilo jukwaa[emoji24]
Mods kama mnaniona nami nataka niingie kune hilo jukwaa[emoji24]