Jukwaa la wakubwa liko wapi?

Jukwaa la wakubwa liko wapi?

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
nimekuwa nikisikia sikia watu wanasema jukwaa la wakubwa..jukwaa la wakubwa...sasa mimi nimekuwa nikizurura kwenye vichochoro vyote vya jf sijaliona...liko wapi hili jukwaa...au ni jukwaa imaginary?..au ni a.k.a ya jukwaa la mmu...msaada tafadhali
 
ni vigezo gani vinazingatiwa?
 
Hata mim nimelitafuta ilo jukwaa pasipo mafanikio nahisi litakua ni jukwaa la wakubwa uchwara
 
ahahah kama umepita vichochoro vyote hujaliona kuna uwezekano mkubwa hujamaliza chocho zote.

hebu kata kushoto mtaa wa pili utamkuta jamaa mmoja hivi mweusi tii anaitwa Invisible muulize huyo atakufikisha huko jukwaani.

Yaani jamaa hajamaliza hata mwezi toka ajiunge anaulizia Jukwaa la Wakubwa?

Angoje akue kwanza.
 
Back
Top Bottom