habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka nje ya mkoa wa kilimanjaro. . Kama wewe ni mwalimu au unaukaribu na mwalimu aliepo mkoani kilimanjaro na angependa kupata mtu wa kubadilishana nae nje ya mkoa basi comment mkoa unaotaka kwenda na idara ili wenye uhitaji wakuone kisha tusamabaze wengine waone ikiwezekana tuunde group rasmi kwaajili ya waalimu waliopo mkoani kilimanjaro