Jukwaa la watu kutoka Burundi

Huko burundi kuna kabila gani naomba uwe balozi kuwashauri wa Rwanda waanzishe nao kuna watoto wazuri sana kule pia wanaimba kwaya wametulia, hapa bongo shemeji zako hawajatulia michosho mingi.

Pia ni fursa ya kibiashara pia.
 
Sisi hatuna ukabila mkuu
 
Mkishajuana mfanye nini!!??? Nani kawazuia kujadiliana na wengine humu JF!? Kweli dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, hainaga mwisho.
Hata hajabagua, kwani akiwajua wa Burundi wenzie wakiunga undugu kuna tatizo! Mbona watu wanafungua uzi ooooh wasingida tukatane hapa mbona makabila mengne hayalalamiki!
 
Mamy @Ihera aho uri hose baguhe kamwe ndariha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…