Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkishajuana mfanye nini!!??? Nani kawazuia kujadiliana na wengine humu JF!? Kweli dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, hainaga mwisho.Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Sisi hatuna ukabila mkuuHuko burundi kuna kabila gani naomba uwe balozi kuwashauri wa Rwanda waanzishe nao kuna watoto wazuri sana kule pia wanaimba kwaya wametulia, hapa bongo shemeji zako hawajatulia michosho mingi.
Pia ni fursa ya kibiashara pia.
Sisi hatuna ukabila mkuu
Ndugu zako haoUnanitia mashaka maana hauja ongea lugha ya kwetu unahofia nini mkuu?
Hata hajabagua, kwani akiwajua wa Burundi wenzie wakiunga undugu kuna tatizo! Mbona watu wanafungua uzi ooooh wasingida tukatane hapa mbona makabila mengne hayalalamiki!Mkishajuana mfanye nini!!??? Nani kawazuia kujadiliana na wengine humu JF!? Kweli dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu, hainaga mwisho.
wewe naye mbaguzi nimekusalimia hapo juu ukanichunia!Kama sielewi maana ico ni kiha sio kirundi