Jukwaa la watu kutoka Burundi

Pole sana ndugu yangu.
Hata wale walioninusurisha walikuwa na siraha zao ndani.
Maana kuna siku nilisikia wanasema; waasi wakileta zengwe sisi hatukimbii nchi yetu. Tutasubiria atakayeingia tunashambulia.

Nilijifunza mengi sana aisee.
Namshukuru Mungu kiukweli walinitunza siku zote nilizokuwa kule ila sikwenda nikiwa pekee yangu.
 
Niliona documentary kule bbc naona Nkurunzinza ana nyumba zake za mateso hapo Bujumbura wakikushtukia tu,unadakwa then kifo kinafuata fasta tu.

Naona waasi siku hizi wamekua warembo sana.,hawana amsha amsha.
 
Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana

Haya nawasubiri
Unaguzi huu,
ANGOLA, saizi kina waka, ZENOFOBIA bado hatu ja isahau.....!
Nawe una leta MENGINE, hebu ukiwa tz, behave kiTz, ila ni USHAURI TU...
 
Unaguzi huu,
ANGOLA, saizi kina waka, ZENOFOBIA bado hatu ja isahau.....!
Nawe una leta MENGINE, hebu ukiwa tz, behave kiTz, ila ni USHAURI TU...
Mkuu sina nia mnbaya nilitaka tu kufahamia na ndugu wa burundi ambao wapo humu jf
 
Mkuu sina nia mnbaya nilitaka tu kufahamia na ndugu wa burundi ambao wapo humu jf
Kila katiba HUWA NZURI, na malengo yake!
LAKINI PERCEPTIONS, hutokea kutofautiana huko, mbele ya safari......!

Mimi nawaunga mkono, FAHAMIANENI TU KWA NIA NJEMA.
 
Munyibukije murumonge ahan,u bita kumikeke.. Hinge nekereze ndong'e umwigeme wi wacu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…