Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesha fika kigoma tu mkuu, ila nna mpango wakuja dar. Kuhusu usalama bado ni changamoto kubwa sana mkuu
Pole sana ndugu yangu.Hili la kufananishwa na mtusi lilishawahi kunikuta mwaka 2007 na kipindi hiki bado watu wanazo silaha majumbani na msituni bado hakujakaa sawa
Kilichotokea jamaa akaja akawa anawaeleza wenzake huyu kazungu katoka Rwanda hivyo wanifatilie nijue naelekea wapi ili wafanye yao
Kwa bahati nzuri wenyeji wangu walikuwa watu makini na waliweza kuwaelezea mimi nimetoka wapi
Kuanzia siku hiyo nikasema sitatembea tena peke yangu
Unaguzi huu,Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Kila katiba HUWA NZURI, na malengo yake!Mkuu sina nia mnbaya nilitaka tu kufahamia na ndugu wa burundi ambao wapo humu jf
Mimi nipo Nduta camp,vipi ndugu yangu uko wapi wewe?Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Amakuru?Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Ni msole matamaNamaki
wewe naye mbaguzi nimekusalimia hapo juu ukanichunia!