Jukwaa la watu kutoka Burundi

Halafu ninyi warundi mkiwa tz kwanini mnajitambulisha kama waha? Kwanin hamujiamini,Mimi sijawahi kukutana na murundi tz ila wameja tele kila huyu ni muha why? Mbona wanyarwanda,wacongo,waganda hawajifichii,msipo angalia ni Lana iyooooooooo oohoooo
Ao unao kutana nao ndio hawajiamini, mimi najiamini na vile vile I'm proud to be a burundian ndio maana ata jukwaa nimelianzisha mimi
 
jikusanyeni na mjadili ni kwa jinc gn mtapata nauli ya kurudi kwenu mana replies zikifika 100+ naenda kuliamsha dude uhamiaji.
Hahahahahaja.....umetisha mdau!!! Nimecheka kwa sauti aisee
 
Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana

Haya nawasubiri
Umukinyi wacu Papy faty yakinira muri swaziland yaryamiye ukuboko kw'abagabo uno munsi kumuhingamo aho yakinira muri swaziland ninkuru yumubabaro kweli[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Umukinyi wacu Papy faty yakinira muri swaziland yaryamiye ukuboko kw'abagabo uno munsi kumuhingamo aho yakinira muri swaziland ninkuru yumubabaro kweli[emoji24][emoji24][emoji24]
IMANA imwakire mu bwami bwayo, ALLAHUMA AMIN
 
Nawapenda sana ndugu zangu warundi.Ata marafiki ninao wengi sana nmewaacha coastal of lake Tanganyika nilipokuw kikazi.lla Mungu atusaidie aman itamalaki,ingawa Tz sio nchi Tajiri ila najivunia ukabila hatuna na aman tunayo.
 
Nkurunzinza amejitahidi sana kuinyoosha Burundi. Sasahivi hakuna habari za waasi wala wapinzani yani heshima na amani vimetawala. Hofu na mashaka yangu jamaa akiachia nchi sijui itakuwaje! Sijui kama patatawalika! Nilitamani sana huyo Bwana aishike nchi hiyo kwa muda mrefu mpaka mizizi hiyo ya amani izoeleke na kumea mioyoni mwa warundi.
Zamani nchi jirani ziliitumia Burundi zitakavyo lkn siku hizi heshima imerudi, Amani imetawala kiasi kwamba hata wageni tunakuja na kutembea bila hofu.
 
Wambie wasiyo jua wajue kinacho endelea Burundi
 
Nawapenda sana ndugu zangu warundi.Ata marafiki ninao wengi sana nmewaacha coastal of lake Tanganyika nilipokuw kikazi.lla Mungu atusaidie aman itamalaki,ingawa Tz sio nchi Tajiri ila najivunia ukabila hatuna na aman tunayo.
Asante kwa upendo wako boss Mungu akubariki ,,,,tupendane tuuu sote wa1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…