Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ninyi warundi mkiwa tz kwanini mnajitambulisha kama waha? Kwanin hamujiamini,Mimi sijawahi kukutana na murundi tz ila wameja tele kila huyu ni muha why? Mbona wanyarwanda,wacongo,waganda hawajifichii,msipo angalia ni Lana iyooooooooo oohooooKiha kirundi.
OkWarundi sio wa burundi rekebisha apo mkuu
Ao unao kutana nao ndio hawajiamini, mimi najiamini na vile vile I'm proud to be a burundian ndio maana ata jukwaa nimelianzisha mimiHalafu ninyi warundi mkiwa tz kwanini mnajitambulisha kama waha? Kwanin hamujiamini,Mimi sijawahi kukutana na murundi tz ila wameja tele kila huyu ni muha why? Mbona wanyarwanda,wacongo,waganda hawajifichii,msipo angalia ni Lana iyooooooooo oohoooo
Hahaaaaaajikusanyeni na mjadili ni kwa jinc gn mtapata nauli ya kurudi kwenu mana replies zikifika 100+ naenda kuliamsha dude uhamiaji.
Daaah niende nikawaone wanyaruandaUrakoze na we mamy #Victoire, IMANA iguhezagire
Nimekukubali sanaAo unao kutana nao ndio hawajiamini, mimi najiamini na vile vile I'm proud to be a burundian ndio maana ata jukwaa nimelianzisha mimi
Hahahahahaja.....umetisha mdau!!! Nimecheka kwa sauti aiseejikusanyeni na mjadili ni kwa jinc gn mtapata nauli ya kurudi kwenu mana replies zikifika 100+ naenda kuliamsha dude uhamiaji.
Umukinyi wacu Papy faty yakinira muri swaziland yaryamiye ukuboko kw'abagabo uno munsi kumuhingamo aho yakinira muri swaziland ninkuru yumubabaro kweli[emoji24][emoji24][emoji24]Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
Ndahazi mutama niyo ndavukiyeWe urahazi kweri mutama, but ikirundi kirimwo kiragutoka kweri
Tatizo hata uzi haujaanzisha kikwenu.Unanitia mashaka maana hauja ongea lugha ya kwetu unahofia nini mkuu?
Hahahahahahaha, Byaombee ni wa Congo.Mkuu msalimiye Kazungu Rose au yule Rubumbya Byaombe reporter wa DW
Kinyarwanda, Kiha, Kirundi na Kihangaza ni lugha moja, wanatofautiana kwenye matamshi machache sana.hivi mkuu kuna tofauti kati ya kinyarwanda na kirundi kama lugha?
Wambie wasiyo jua wajue kinacho endelea BurundiNkurunzinza amejitahidi sana kuinyoosha Burundi. Sasahivi hakuna habari za waasi wala wapinzani yani heshima na amani vimetawala. Hofu na mashaka yangu jamaa akiachia nchi sijui itakuwaje! Sijui kama patatawalika! Nilitamani sana huyo Bwana aishike nchi hiyo kwa muda mrefu mpaka mizizi hiyo ya amani izoeleke na kumea mioyoni mwa warundi.
Zamani nchi jirani ziliitumia Burundi zitakavyo lkn siku hizi heshima imerudi, Amani imetawala kiasi kwamba hata wageni tunakuja na kutembea bila hofu.
Asante kwa upendo wako boss Mungu akubariki ,,,,tupendane tuuu sote wa1Nawapenda sana ndugu zangu warundi.Ata marafiki ninao wengi sana nmewaacha coastal of lake Tanganyika nilipokuw kikazi.lla Mungu atusaidie aman itamalaki,ingawa Tz sio nchi Tajiri ila najivunia ukabila hatuna na aman tunayo.
Ndio!!kuna makambi mengi ya wakimbizi ukuHalafu hii mitaa ya kutaja barabara ipo sana katumba katavi. Sijui ni warundi nao?