Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Najua Makosa ya Kiufund MkubwaMzee baba katika alphabet ya lugha yetu hakuna herufi "L" bali tuna "R"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua Makosa ya Kiufund MkubwaMzee baba katika alphabet ya lugha yetu hakuna herufi "L" bali tuna "R"
Halafu hii mitaa ya kutaja barabara ipo sana katumba katavi. Sijui ni warundi nao?Duuh bwiza barabara ya ngapi?
Mbona Hata Dom na Tanga zipo saaanaHalafu hii mitaa ya kutaja barabara ipo sana katumba katavi. Sijui ni warundi nao?
Ngoja tuwaite uhamiaji kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu hii mitaa ya kutaja barabara ipo sana katumba katavi. Sijui ni warundi nao?
Hapana mkuu warundi nyie bado wachache sana ukilinganisha na wanyaruwanda wenye wameja kila kona ya jfKwanini mkuu, kwani hatuna haki?
Uko wapi nowMimi ni mrundi, na sipo Tz mkuu
Nimeolewa na mtanzania kwao katumba barabara ya......Kwani we ni mrundi au?bila shaka we rundi upon kama mkimbiz Tanzania..na logoff
katumba katavi,budyankuru tabora,mishamo katavi hizo zilikuwa kambi za wakimbizi miaka ya sabini so rais jk akawaonea huruma na kuwapa uraia.Nimeolewa na mtanzania kwao katumba barabara ya......
[emoji849][emoji849]nilizani mtu wa Burundi nipo peke yangu kumbe turi benshi uku!!Burundi oyee[emoji123]Habari zenu wanajamvi, najua Jf imekusanya watu chungu nzima. Sidhani kama ni vibaya warundi wote tukifahamiana
Haya nawasubiri
acha mkwara !!!jikusanyeni na mjadili ni kwa jinc gn mtapata nauli ya kurudi kwenu mana replies zikifika 100+ naenda kuliamsha dude uhamiaji.
we upo tz au uko wapi[emoji849][emoji849]nilizani mtu wa Burundi nipo peke yangu kumbe turi benshi uku!!Burundi oyee[emoji123]
acha mkwara !!!
Hapa ndo nne inaitwa inne hahaa
Mimi msukuma bwana. Sema kule napenda kula ugali wa rowe na mgebuka wa kuchoma.katumba katavi,budyankuru tabora,mishamo katavi hizo zilikuwa kambi za wakimbizi miaka ya sabini so rais jk akawaonea huruma na kuwapa uraia.
Kwahiyo wale ni wahutu wenzako bi dada,ila avatar yako nimeipenda🤒🤒🤒