Jukwaa limechafuka, tulisafishe

Kuna kikundi Cha WATU watatu.
WAPUMBAVU watatu GENARA
Hawa Kila saa Kuanzisha Nyuzi za KIPUMBAVU jukwaani sijui wanalipwa na nani.

GE.........
NA............
LA............

HAWA WAMEHARIBU KABISA HADHI YA JAMII FORUM.
 
Hongera kwa kupewa kifua kaka
 
Mm mtu akijua ana mihemuko asireply comments zangu..kuna watu hawajui utani. Wana attack personal...
 
Tatizo vijana wengi walisoma kwa bidii na baada ya kuja mtaani wakakutana na mambo kinyume na matarajio yao...😊
 
Vijana wengi wa Rage humu jukwaani ndiyo wanao ongoza kwa kuwatukana watu hovyo matusi ya nguoni, na pia kulichafua hili jukwaa. Kwa upande wangu hata sishangai kuwaweka karibia nusu yao kwenye ignore list yangu.
 
Hivi hakuna moderators? Kwa sababu mambo mengi yanayoandikwa humu hayafai kabisa kwa watu wenye akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…