Jukwaa limechafuka, tulisafishe

Jukwaa limechafuka, tulisafishe

Kuna kikundi Cha WATU watatu.
WAPUMBAVU watatu GENARA
Hawa Kila saa Kuanzisha Nyuzi za KIPUMBAVU jukwaani sijui wanalipwa na nani.

GE.........
NA............
LA............

HAWA WAMEHARIBU KABISA HADHI YA JAMII FORUM.
 
Nitaandika kwa hekima na tafakuri jadidi lakini bado nitahakikisha maslahi kwa timu yangu ya Mnyama yanazingatiwa na kulindwa vilivyo..!

Mara moja moja nitawatania Yanga kama mtani na timu pinzani ya SIMBA ila sitaweza kuweka dhihaka za kukera maana michezo no furaha.. Michezo inatuunganisha imani zetu, itikadi zetu na asili zetuView attachment 2776405

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kupewa kifua kaka
 
Mm mtu akijua ana mihemuko asireply comments zangu..kuna watu hawajui utani. Wana attack personal...
 
Tatizo vijana wengi walisoma kwa bidii na baada ya kuja mtaani wakakutana na mambo kinyume na matarajio yao...😊
 
Ukifuatilia michango ya members hapa jukwaani utagundua kuwa wengi hawana vifua vya kuvumilia hoja au mada zenye habari/ujumbe wenye mlengo tofauti na timu zao ktk kipindi husika. Matokeo yake ni kujaa kwa matusi na dhihaka.

Nashauri tujikite kujadili mada kwa hoja na sio mihemko/uhayawani. Vinginevyo tunalichafua jukwaa hili muhimu. Kama huna cha kuandika ni bora ukae kimya au usome michango ya wenye akili timamu.
Vijana wengi wa Rage humu jukwaani ndiyo wanao ongoza kwa kuwatukana watu hovyo matusi ya nguoni, na pia kulichafua hili jukwaa. Kwa upande wangu hata sishangai kuwaweka karibia nusu yao kwenye ignore list yangu.
 
Hivi hakuna moderators? Kwa sababu mambo mengi yanayoandikwa humu hayafai kabisa kwa watu wenye akili timamu.
 
Back
Top Bottom