Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hujakosea mkuu,.Lazima utakua mjasilia
Labda jamii intelligence mambo ya kufuga sipo kabisaLa ufugaji umelisahau
Kupiga watu vizinga zilipendwa hizoo,.[emoji16]Hongera sana mkuu wanawake na maendeleo sio vizinga
Hahahahaaaa wewe jamaa weweSiasa napita kusalimia wazee wenzangu wa kubet nateremka kwenye jukwaani la mahusiano kuona kama kuna ingizo jipya la wachumba wa kike ili nisake mmoja.
Nikimaliza naenda kulala.
Leo nilibet game ya scotland na Portugal nikaweka over 3.5 nikaweka 20 ikaja 70 imefika dakka ya 89 portugal anaongoza 3 nikasema wacha ni turbo nipate hata hasara kidogo nikaturbo nikapata 15 so nikawa nimeliwa elfu 5.Siasa napita kusalimia wazee wenzangu wa kubet nateremka kwenye jukwaani la mahusiano kuona kama kuna ingizo jipya la wachumba wa kike ili nisake mmoja.
Nikimaliza naenda kulala.
Hahahahaaaa wewe jamaa wewe