Jukwaa lipi uingiapo JF ndio la kwanza kulipekekua?

Siasa napita kusalimia wazee wenzangu wa kubet nateremka kwenye jukwaani la mahusiano kuona kama kuna ingizo jipya la wachumba wa kike ili nisake mmoja.

Nikimaliza naenda kulala.
Leo nilibet game ya scotland na Portugal nikaweka over 3.5 nikaweka 20 ikaja 70 imefika dakka ya 89 portugal anaongoza 3 nikasema wacha ni turbo nipate hata hasara kidogo nikaturbo nikapata 15 so nikawa nimeliwa elfu 5.

Inafika dakika ya 93 scotland anatupia goli ikawa 1-3 so ni over 3.5 nimejilaumu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…