Hahahaa ngakumbwa kaa
Mkuu habari?Weed smoker
Wamehamia laliga
La Liga si ishafungwa mkuu??Wamehamia laliga
Na wewe si uanzishe uzi wa kusifia Chato yenuVijana wa Arusha washamba sana,halafu wanaongeaga kilugha wao wanajua eti wanaongea kiswahili....(chariiii ya R)afadhari Joh na G.nako walivyotoka shamba wakaja mjini..
Ucheni ukanda bhana
Umeandika kibangi bangi humu kuna watu wana heshima zao hao unaowatafuta ni wavuta bangi wenzako kawatafute huko fb hapa sio mahara pake
Sent using Jamii Forums mobile app