Jukwaa spesheli kwa wazee wa arachuga na mo-town

Vijana wa Arusha washamba sana,halafu wanaongeaga kilugha wao wanajua eti wanaongea kiswahili....(chariiii ya R)afadhari Joh na G.nako walivyotoka shamba wakaja mjini..

Ucheni ukanda bhana
 
Na sisi wanaume wa Dar tuanzishe jukwaa letu jamani![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Vijana wa Arusha washamba sana,halafu wanaongeaga kilugha wao wanajua eti wanaongea kiswahili....(chariiii ya R)afadhari Joh na G.nako walivyotoka shamba wakaja mjini..

Ucheni ukanda bhana
Na wewe si uanzishe uzi wa kusifia Chato yenu
 
Back
Top Bottom