Julai imeisha,Leo ni Agosti 4 ,Bado tuendelee kusubiri!?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,097
Reaction score
10,951
Uchaguzi mwaka huu umekuwa na nkamvuto' hakuna upinzani wa Moja kwa Moja lakini Kuna fukuto la mabadiliko..ndani ya CCM na nje ya CCM.
Huko.ndani yaelekea Kuna discontent kubwa sana! Nje ndio hakufai!
Kulikuwa na utqbiri kuwa Kuna jambo litatokea julai au Agosti.
Kuna watu walioanisha kuahirishwa kwa Bunge na mabadiliko tarajiwa,Jana imepita!
Je ,tuendelee kusubiri au ndio basi tena!
Mungu inariki Tanzania!
 
Mabadiliko Nchi hii hayawezi kuletwa na harakati za mitandaoni zikiongozwa na Yule Malaya wa Nairobi
 
Yani mabadilikobyatokee huku sisi wananchi kila mtu anaendelea na mitikasi yake ya kimaisha , ni ngumu sana
 
Uchaguzi mwaka huu umekuwa na nkamvuto' hakuna upinzani wa Moja kwa Moja lakini Kuna fukuto la mabadiliko..ndani ya CCM na nje ya CCM.
Huko.ndani yaelekea Kuna discontent kubwa sana! Nje ndio hakufai!
Kulikuwa na utqbiri kuwa Kuna jambo litatokea julai au Agosti.
Kuna watu walioanisha kuahirishwa kwa Bunge na mabadiliko tarajiwa,Jana imepita!
Je ,tuendelee kusubiri au ndio basi tena!
Mungu inariki Tanzania!
Sio utabiri mkuu --- jambo hili lilikua la wazi sana
 
Uchaguzi mwaka huu umekuwa na nkamvuto' hakuna upinzani wa Moja kwa Moja lakini Kuna fukuto la mabadiliko..ndani ya CCM na nje ya CCM.
Huko.ndani yaelekea Kuna discontent kubwa sana! Nje ndio hakufai!
Kulikuwa na utqbiri kuwa Kuna jambo litatokea julai au Agosti.
Kuna watu walioanisha kuahirishwa kwa Bunge na mabadiliko tarajiwa,Jana imepita!
Je ,tuendelee kusubiri au ndio basi tena!
Mungu inariki Tanzania!
Ngoja watabiri tena kwa kuangalia mazingira yaliyopo 'situational analysis'
 
Back
Top Bottom