ngoja tuone .
Hata Conte pia atawafaa sana.
Kwa mara ya kwanza makocha wataanza kukataa kazi ya madrid , nani anayeweza kufufua maiti ?Zidane alishtuka mapema, baada pia ya kugomewa kusajiri some new players na kuuza baadhi kama Bale etc. Sasa kichapo cha 5-1 ni dhahiri Lopetegui atasukumiwa nje tu
Tayari yametimia hukoKwa namna yoyote ile kocha huyu mbovu mwenye miaka 52 , aliyewahi kuwa golikipa miaka iliyopita hana nafasi tena ya kufundisha Real Madrid .
Naamini mpaka kufika muda timu imemvumilia vya kutosha sana , kwa hali ilipofikia hakuna tena cha mswalie mtume .
Kabisa mkuu !Tayari yametimia huko