Julen Lopetegui Argote Kutimuliwa siku yoyote REAL MADRID

Zidane alishtuka mapema, baada pia ya kugomewa kusajiri some new players na kuuza baadhi kama Bale etc. Sasa kichapo cha 5-1 ni dhahiri Lopetegui atasukumiwa nje tu
 
Kwa mara ya kwanza makocha wataanza kukataa kazi ya madrid , nani anayeweza kufufua maiti ?
 
Real wanatia huruma kabisa.. wachezaji wamechoka wametumika mno, wanapaswa kuongeza nguv mpya
 
Gundu lilianza baada ya kutimuliwa kuinoa timu ya Taifa
 
Back
Top Bottom