Julia Pastrana mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani

Julia Pastrana mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani

Oya huyu demu mbona mzuri, ah kwa sababu ya hizo nywele, wamama wengi wa kiafrica mbona wana ndevu

Kuna maza mmoja nilikutana nae magomeni kwenye daladala, ile kukaa siti moja nae, moyo ukishtuka. Sio kwambaa ana ndevu usoni tu, mpaka kifuani, wakati namshangaa akanikata jicho nikajikuta tu namwamkia "shikamoo bi mkubwa"

Akanikata jicho moja kali, nilishuka kituo kinachofuata
 
Oya huyu demu mbona mzuri, ah kwa sababu ya hizo nywele, wamama wengi wa kiafrica mbona wana ndevu

Kuna maza mmoja nilikutana nae magomeni kwenye daladala, ile kukaa siti moja nae, moyo ukishtuka. Sio kwambaa ana ndevu sehemu zote, mpaka kifuani, wakati namshangaa akanikata jicho nikajikuta tu namwamkia "shikamoo bi mkubwa"

Akanikata jicho moja kali, nilishuka kituo kinachofuata
Kuna Wanawake wa kihindi wengi nimewaona kabisa live , sema huku waliko hakuna mwenye taimu ya kushangaa....

1732486169795.png
 
Oya huyu demu mbona mzuri, ah kwa sababu ya hizo nywele, wamama wengi wa kiafrica mbona wana ndevu

Kuna maza mmoja nilikutana nae magomeni kwenye daladala, ile kukaa siti moja nae, moyo ukishtuka. Sio kwambaa ana ndevu usoni tu, mpaka kifuani, wakati namshangaa akanikata jicho nikajikuta tu namwamkia "shikamoo bi mkubwa"

Akanikata jicho moja kali, nilishuka kituo kinachofuata
Kwa kweli, hata mimi nimeshangaa hana ubaya wowote. Wamemuonea Julia wa watu. Mume wake alikuwa anampenda, anajilia mzigo kwa raha zake.
 
Kuna watu wanasoma heading wanafungua thread alafu wanasoma jina lako ili kuhusianisha na uelewa wako juu ya habari uliyoitoa.

Wakiona ni nonsense wanakupotezea. ila sisi WACHOKONOOOOZIIII!!!!, Tunakwambia tuu habari yako bila picha ni kama mfuta ubao tuu darasani sifa yako ni urefu wa kimo😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Sure mfano mimi nikionaga heading flan naangalia nani kapost,nikiona ni name ya jamaa mwenye mambo ya kitoto sana aitwae magic powder huwa siifungui kabisa.
 
Mmmh hapo wamekuja Tanzania kweli kuangalia angalia au??
 
Back
Top Bottom