Julia Pastrana mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani

Oya huyu demu mbona mzuri, ah kwa sababu ya hizo nywele, wamama wengi wa kiafrica mbona wana ndevu

Kuna maza mmoja nilikutana nae magomeni kwenye daladala, ile kukaa siti moja nae, moyo ukishtuka. Sio kwambaa ana ndevu usoni tu, mpaka kifuani, wakati namshangaa akanikata jicho nikajikuta tu namwamkia "shikamoo bi mkubwa"

Akanikata jicho moja kali, nilishuka kituo kinachofuata
 
Kuna Wanawake wa kihindi wengi nimewaona kabisa live , sema huku waliko hakuna mwenye taimu ya kushangaa....

 
Kwa kweli, hata mimi nimeshangaa hana ubaya wowote. Wamemuonea Julia wa watu. Mume wake alikuwa anampenda, anajilia mzigo kwa raha zake.
 
Sure mfano mimi nikionaga heading flan naangalia nani kapost,nikiona ni name ya jamaa mwenye mambo ya kitoto sana aitwae magic powder huwa siifungui kabisa.
 
Mmmh hapo wamekuja Tanzania kweli kuangalia angalia au??
 
Huo mdomo wake kwa hapa nchini sio mgeni kwenye mambo yetu yale ya kabumbuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…