Juliana Kanyomozi: Mwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana na masuala mbalimbali kwenye mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa SatisfashionUG.

Miongoni mwa mambo aliyohojiwa ni pamoja na kuvuja kwa picha za utupu za muimbaji mwenzie wa Uganda, Desire Luzinda. "Kwanza kabisa katika kesi nyingi kamwe huwa sio kosa la mwanamke," anasema Juliana.
"Kama wewe ni mtu mzima na umempenda mtu unajua kuwa hakuna kikomo cha kipi kitatokea kwenye chumba binafsi cha watu wazima wawili. Kama hautaenda mbali zaidi kumfurahisha mwanaume wako, atakuacha na kisha utahukumiwa kwa hilo," aliongeza.

"Pindi mwanaume anapovunja uaminifu na kuamua kushare vitu hivyo siri kwa dunia nzima na kutumia vyote dhidi ya mwanamke – ndio maana bado tuna safari ndefu kama wanawake kukemea tabia hiyo."


"Nachukizwa na wanaume wa aina hii. Wanatia aibu. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa ni wanawake pekee ndio wanaokuwa wahanga kwenye visasi hivi vya mashambulizi ya purn. Unapofanya kitu kama hicho kwa mwanamke, hauwaumizi wanawake wote tu bali pia mama yako, mabinti zako na dada zako."

Juliana alitolea pia mfano wa udukuzi uliofanyika nchini Marekani na kudai kuwa pamoja na picha za wasanii mbalimbali kuvuja hakuna chombo cha habari cha kuaminika kilichozianika.

"Inanisikitisha hapa nyumbani, kinyume chake ndio kinatokea."
Tupe maoni yako hapo Chini.
 
Ili ni Tatizo la ku date wavulana badala ya wanaume ama ku date watu ambao ki umri ni watu wazima ila ki akili ni watoto kichwani!!Mwanaume hawezi fanya upuuzi uo wa kutoa ya sirini yaliyowahusu ninyi pekee haswa aya mambo ya picha.
 
Hivi anamaanisha mwanamke akioenda akili anazifutika kwenye masaburi na anafanya lolote kumridhisha mwanaume???

Anyway nitarudi kesho asubuhi
 
Hivi anamaanisha mwanamke akioenda akili anazifutika kwenye masaburi na anafanya lolote kumridhisha mwanaume???

Anyway nitarudi kesho asubuhi

Ameongea ukweli, mambo mengine ni ushamba kwa sisi wanaume kuyafanya.

Through my experience kuna wanawake mkishibana anapenda umpige picha akiwa na bikini tu mkiwa wawili ila kuna watu hawana staha wala privacy, na wadada nao akili hawana si kila mwanaume wa kumuamini kuna video ninazo mademu wa kibongo wameshutiwa wakiwa na mabwana zao mpaka unashindwa kuelewa hawa ni wauza K au nini kiliwafanya wakubali kupigwa video? Mfano hai kama ile ya Zari.
 

Mkuu ya zari unayo :what::what: kama unayo fanya wepes nami nione zaris nude

I can't wait to see zaris nacked
 
Matukio kama haya hayatakoma au kufikia tamati mpaka siku ambayo mwanamke atapojitambua na kutambua thamani ya uchi wake....
Mpaka siku ambayo mwanamke atakapojua sababu ya tupu yake kuwekwa katikati ya mapaja na si kwenye paji la uso.....mpaka siku ambayo atakapojua kuwa tupu yake ni halali kwa mumewe pekee na ni haramu kwa wengine...
Mpaka siku ambayo ataacha kuuthaminisha uchi wake na fedha....
 

Damn! she is fine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…