Tabrett
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 522
- 338
sijui kwa nini sku hizi hata ukichartna mwanamke kidogo t anakimbilia kukutumia picha za uchi
Seriously.....!!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui kwa nini sku hizi hata ukichartna mwanamke kidogo t anakimbilia kukutumia picha za uchi
Makeup hadi mwili mzima?
Seriously.....!!!!??
wewe je?
Yes, binafsi nina wanawake watano ambao sijawahi kuonana nao physically wananitumia picha za uchi just by chatting. Ila pamoja na kwamba sijawahi kuonana nao I still respect their privacy kwamba there is no way nikashare picha zao public. Ninachojilinda kwa sasa ni kuishia kuchat tu na si vinginevyo.
Mimi hua sipigwi najipiga mwenyewe najiangaliaa weee then nafuta,pia inategemea na mwanaume ulienae maana kuna kuna wavulana piaaa
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa
Ndio hata mimi nijuavyo wanaume ndio washawishi wakubwa wa kuwataka wakike wajipige picha wawatumie
hapo kwenye red tunauita ni ubinafsi, macho yangu yanatamani kuiona pia.
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa
Huyu nae akipigwa katelelo tu hoi anajiachia kupigwaaa
Seriously.....!!!!??
yah mkuu it's common now days...mitandao inaharibu watu
Matukio kama haya hayatakoma au kufikia tamati mpaka siku ambayo mwanamke atapojitambua na kutambua thamani ya uchi wake....
Mpaka siku ambayo mwanamke atakapojua sababu ya tupu yake kuwekwa katikati ya mapaja na si kwenye paji la uso.....mpaka siku ambayo atakapojua kuwa tupu yake ni halali kwa mumewe pekee na ni haramu kwa wengine...
Mpaka siku ambayo ataacha kuuthaminisha uchi wake na fedha....
Ila Juliana yuko vizuri!!!
Ameongea ukweli, mambo mengine ni ushamba kwa sisi wanaume kuyafanya.
Through my experience kuna wanawake mkishibana anapenda umpige picha akiwa na bikini tu mkiwa wawili ila kuna watu hawana staha wala privacy, na wadada nao akili hawana si kila mwanaume wa kumuamini kuna video ninazo mademu wa kibongo wameshutiwa wakiwa na mabwana zao mpaka unashindwa kuelewa hawa ni wauza K au nini kiliwafanya wakubali kupigwa video? Mfano hai kama ile ya Zari.