Juliana Kanyomozi: Mwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi

Juliana Kanyomozi: Mwanamke hana jeuri ya kumkatalia mpenzi wake kupiga picha za Uchi

Nakubaliana na Juliana kuwa wanawake wengi wanapokua na wapenzi wao hawakatai kupiga picha za utupu. Kwa mtazamo wangu naona ni vema wanawake wasiwe wanaruhusu picha za kuonekana sura, maana kuna mengi, mwanaume anaweza asivujishe picha hizo ila namna ya kuzitunza hizo picha ikawa kizungumkuti. Mfano waweza tuza kwenye simu, mara simu ikapotea watu wakaziona hizo picha na kuzisambaza, waweza tunza kwenye computer mara computer ikaharibika na ukaamua kuipeleka kwa fundi ambaye akaweza kuvujisha hizo picha, wengi mnakumbuka stori ya kina Nsia Swai kilichowapata baada ya laptop yao kuharibika huko Mwanza. Siku hizi kuna cloud storage ila tatizo lipo kwenye utuzaji wa password zetu. My advice ni kuwa, wanawake mkipiga picha hizo msikubali sura ionekane. Hii ni kwa usalama wenu.
 
Seriously.....!!!!??

Yes, binafsi nina wanawake watano ambao sijawahi kuonana nao physically wananitumia picha za uchi just by chatting. Ila pamoja na kwamba sijawahi kuonana nao I still respect their privacy kwamba there is no way nikashare picha zao public. Ninachojilinda kwa sasa ni kuishia kuchat tu na si vinginevyo.
 
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa
 
Mimi hua sipigwi najipiga mwenyewe najiangaliaa weee then nafuta,pia inategemea na mwanaume ulienae maana kuna kuna wavulana piaaa

hapo kwenye red tunauita ni ubinafsi, macho yangu yanatamani kuiona pia.
 
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa

Ndio hata mimi nijuavyo wanaume ndio washawishi wakubwa wa kuwataka wakike wajipige picha wawatumie
 
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa

Aaaaaah kawaida bwana lazima uone injini kwanza kama inalipa ni sawa wakati wa kununua gari pale yard lazima ulikague ndipo uliendeshee me kwangu pouwa hata tukiachana ntaishia kumheshimu tu
 
Hao nao watakua wameathilika kiakili yaan hamjaonana ashajifotoaa,pia kuna wanaume nao hufanya hivyooo tena nyie ndio huwashawishi hao wapige pichaaa

Kiukweli ni suala linalogusa pande zote mbili, yaani wanaume na wanawake. Sasa hivi imekuwa kama ni kitu cha kawaida tu.
 
Matukio kama haya hayatakoma au kufikia tamati mpaka siku ambayo mwanamke atapojitambua na kutambua thamani ya uchi wake....
Mpaka siku ambayo mwanamke atakapojua sababu ya tupu yake kuwekwa katikati ya mapaja na si kwenye paji la uso.....mpaka siku ambayo atakapojua kuwa tupu yake ni halali kwa mumewe pekee na ni haramu kwa wengine...
Mpaka siku ambayo ataacha kuuthaminisha uchi wake na fedha....

Umenena! Wanawake wengi wanajidhalilisha wenyewe na kuweka rehani utu wao wanapoamua kuujasiliamalisha mwili.
Matokeo yake yanafanyiwa yasiyotarajiwa!
 
Ameongea ukweli, mambo mengine ni ushamba kwa sisi wanaume kuyafanya.

Through my experience kuna wanawake mkishibana anapenda umpige picha akiwa na bikini tu mkiwa wawili ila kuna watu hawana staha wala privacy, na wadada nao akili hawana si kila mwanaume wa kumuamini kuna video ninazo mademu wa kibongo wameshutiwa wakiwa na mabwana zao mpaka unashindwa kuelewa hawa ni wauza K au nini kiliwafanya wakubali kupigwa video? Mfano hai kama ile ya Zari.

Mkuu kuna vitu sio vya kuwalaumu wanaume,huu ni upumbavu zao wanawake,yaani ukiona mwanamke picha zake zimevuja ni mwanamke wa hovyo sana hafai hata kuish na wanyama polini,kwanini aanze pigwa picha au kurecord video? hata kama mmeshibana kwani kwa kumpiga video ndio utamuona ana ngozi nyororo au? simko chumbani siumguse tu live? wanawake wanaopigwa picha they are ------ ana mara nyingi huwa wanafanya hivyo kutafuta soko na wanavujisha wao...Hivi huwa hawajui simu huwa zinapotea?
USHAURI KWA WANAWAKE..boys zenu wakiwaambia wawapige picha nanyi muwaambie muwapige ili kila mtu awe nazo za mwenzake uone kama akimwaga mboga we mwaga ugali..
KUMBUKENI INTERNET NEVER FORGET...hizo picha zenu zitakaa kwenye media milele
 
Back
Top Bottom