GE2025 Juliana Shonza aongoza kura za maoni viti maalum Songwe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo.

Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema Bi. Shonza, amepata jumla ya kura 572, akifuatiwa na Bi. Neema Mwandabila, aliyepata kura 356 ambaye pia amewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa huo, huku nafasi ya tatu ikienda kwa Bi. Tully Magilla aliyepata kura 167.

Uchaguzi huo umehusisha wagombea tisa ambapo kando na hao watatu wengine ni Bi. Tumaini Mbembela, kura 122, Bi. Shukuruni Mkondya kura 86, Bi. Winfrida Shonde kura 56, Bi. Messiah Swela kura 44,Bi. Betha Minga kura 34 na Bi. Neema Lwila kura 29, ambapo jumla ya kura 739 zimepigwa na kura 5 zikiharibika.
1753940977051.png
 
Alianza kufahamika , kipindi cha magufuri , ndo alimwinua kisasa ....ila dah maisha haya......
 
Aliifanya CDM kama njia saiv ni kama used condom tu kwake. Ndo maan mm nilijichagulia kutokumuamini mwanasiasa yoyote ukichanganya na hata kweny mapenz nilikutana nao na nilichokipata aise sijui wanasiasa afanye nn nimuamini
 
Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo.

Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema Bi. Shonza, amepata jumla ya kura 572, akifuatiwa na Bi. Neema Mwandabila, aliyepata kura 356 ambaye pia amewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa huo, huku nafasi ya tatu ikienda kwa Bi. Tully Magilla aliyepata kura 167.

Uchaguzi huo umehusisha wagombea tisa ambapo kando na hao watatu wengine ni Bi. Tumaini Mbembela, kura 122, Bi. Shukuruni Mkondya kura 86, Bi. Winfrida Shonde kura 56, Bi. Messiah Swela kura 44,Bi. Betha Minga kura 34 na Bi. Neema Lwila kura 29, ambapo jumla ya kura 739 zimepigwa na kura 5 zikiharibika.View attachment 3425448
Hivi hizi kura zinapigwaje? Hesabu ya kura haikubaliani. Na uzi wa kura za arusha nao hivo hivyo. Nielewesheni zinapigwaje na kuhesabiwa vipi?
 
Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo.

Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema Bi. Shonza, amepata jumla ya kura 572, akifuatiwa na Bi. Neema Mwandabila, aliyepata kura 356 ambaye pia amewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa huo, huku nafasi ya tatu ikienda kwa Bi. Tully Magilla aliyepata kura 167.

Uchaguzi huo umehusisha wagombea tisa ambapo kando na hao watatu wengine ni Bi. Tumaini Mbembela, kura 122, Bi. Shukuruni Mkondya kura 86, Bi. Winfrida Shonde kura 56, Bi. Messiah Swela kura 44,Bi. Betha Minga kura 34 na Bi. Neema Lwila kura 29, ambapo jumla ya kura 739 zimepigwa na kura 5 zikiharibika.View attachment 3425448
Mitano tena UNAJUA siasa

MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa Taifa

Back
Top Bottom